Jumatatu, 17 Novemba 2014



Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amewataka wananchi wasichague vyama vya upinzani kwa sababu havina lengo la kuwaletea maendeleo, badala yake wachague CCM kwa kuwa ndicho chama kinachoweza kuwaletea maendeleo na kutatua kero zinazowakabili.
Kwa mtazamo wako wewe 
kuwa CCM inaleta maendeleo?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni