Alhamisi, 27 Novemba 2014

Jumatatu, 17 Novemba 2014



Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amewataka wananchi wasichague vyama vya upinzani kwa sababu havina lengo la kuwaletea maendeleo, badala yake wachague CCM kwa kuwa ndicho chama kinachoweza kuwaletea maendeleo na kutatua kero zinazowakabili.
Kwa mtazamo wako wewe 
kuwa CCM inaleta maendeleo?

Jumatatu, 10 Novemba 2014

Eden Hazard has snubbed any chance of a move to Real Madrid C.F.saying Chelsea Football Club are the club of his dreams
The Belgian wing wizard was nominated for the Ballon d'Or this year after his stunning performances for Chelsea which have attracted interest from abroad
MIRROR.CO.UK|BY MARTIN LIPTON

Alhamisi, 30 Oktoba 2014

Hemed phd ft gelly-one

kama unapenda love song usikose sikiliza muziki mzuri kutoka kwa hemed phd na gelly inaitwa one....................      massingoo.blogspot.com

YOUNG STAR FT A KEY-AM SORRY

TUWAPE SAPOTI  VIJANA WETU HAWA WAMEFANYA KITU KIZURI SANA HESHIMA KWAO SIKU MOJA NAO WATATOKAmassingoo.blogspot.com

Jumanne, 29 Julai 2014

NEVER LOOSE HOPE

Katika maisha mambo mengi huwa yanatokea yakufurahisha pia yakuhuzunisha ila cha msingi tusikate tamaa kwani mungu yupo na siku moja itakuwa zamu yetu waliopata walikuwa kama sisi hivyo tuongeze juhudi na sisi tuwe kama wao