Jumanne, 29 Julai 2014

NEVER LOOSE HOPE

Katika maisha mambo mengi huwa yanatokea yakufurahisha pia yakuhuzunisha ila cha msingi tusikate tamaa kwani mungu yupo na siku moja itakuwa zamu yetu waliopata walikuwa kama sisi hivyo tuongeze juhudi na sisi tuwe kama wao